17.8.13

                                   


                                         TAMASHA KUUUUUBWA SANA!!!!!!
Tamasha Kuuuuubwa!!!! la kwaya ya Waadventista wasabato Lugalo. Tamasha linatarajiwa kufanyika tarehe 08/09/2013. Kwaya zaidi ya ishirini zimealikwa. Kila yeyote, mwenye chochote na aje tumsifu BWANA na kumfanyia kazi. 

No comments:

Post a Comment

Karibuni