Huu ni mwaka wa 2009, wakati Dr. Herry Mhando alipokuwa anautoa ulimwengu katika giza Nene na kuliongoza katika Nuru ya kweli. Mungu humpandisha mtu na kumshusha kwa jinsi atakavyo yeye. Ila wakati huo huo shetani nae hufurahi sana kuona watu wa Mungu wanamkana yeye aliye Bwana wa sabato na kuwajenge dhana ya upotevu kabisa. Ni neema tu illuongoze tusimame Imara. Haleluya.
No comments:
Post a Comment
Karibuni