9.9.13

                                   










                             



        EFFORT EFFORT EFFORT EFFORT!!!!!!!!!!!! 


KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LUGALO LINAYO FURAHA KUUUUBWA!! KUKUALIKA WEWE: MTOTO/KIJANA/BABA/MAMA/BIBI/BABU WATU WA RIKA ZOTE BILA KUJALI DINI, RANGI, KABILA, UMRI KWA AJILI YA KUHUDURIA KATIKA MAFUNDISHO MAKUU YANAYOENDESHWA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LUGALO.
       Karibu sana upate mibaraka ya ajabu. Naamini hutasahau hata siku moja yale Mungu atakayo kufanyia katika maisha yako. Namna ya kufika wasiliana nami kupitia simu nambari
                               0718 080804/0768 080802


                                     UBARIKIWE!!!!!!!!!!!!!!!!!

17.8.13

                                   


                                         TAMASHA KUUUUUBWA SANA!!!!!!
Sikiliza 105.3FM Morning Star Radio. RADIO YA MATUMAINI. Pata somo zuri ya mwayachunguza maandiko linalotolewa na Muinjilist wa kimataifa Amon Mkangara kuanzia saa 1900hrs (Saa moja kamili usiku)

20.3.13

sabatoyakweli.blogsport.com
Wapendwa katika bwana. Tuko katika majaribio ya blog yetu hii. Tunapenda kuwafahamisha kuwa tunajitahidi kwa kadri ya uwezo wetu kupata habari mpya kila siku ili kwenda na wakati. Tafadhali usisite kuwasiliana nasi unapoona tukio popote. Tahadhari: Matukio yote yawe yenye heshima na hekima na siyo ya kudhalilisha. Ubarikiwe. Wasiliana nasi kupitia 0718 080804